Wednesday, January 9, 2013

Mohamed Gomesa

Nini kimemuua Omari omari?

Mwanamuziki kutoka Temeke  Omari Omari amefariki dunia juzi nyumbani kwao Temeke. Chanzo cha kifo chake mwanamuziki huyo inadaiwa kwamba alikuwa anaugua kifua kwa muda mrefu na kuanza kuanza kutumia dawa hadi pale alipopata nafuu. Inasema kama mwanamuziki huyo alizidiwa siku mbili kabla na kupelekwa kwenye hospitali ya Temeke, hadi alipopata nafuu na kurudi mwenywe nyumbani.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi