Wednesday, January 30, 2013

Gomesa Tv

Newtrack; Linex- Mahakama ya Mapenzi


Ukizungumzia  mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya mwenye sauti ya pekee  (Personal Identity) mwenye mashairi yaliokwenda shule na yanayogusa hisia  na maisha ya kawaida ya kila siku hasa kwenye maswala ya mapenzi …. Na inasemekana ni msanii anayeongoza kwa kupendwa na wanandoa wengi hapa bongo kutokana na jinsi mashairi yake yanavyowagusa hasa wanandoa ndani ya nyumba…..ni msanii pekee wa bongo fleva ambaye anawagusa sana watu wazima kuliko msanii mwingine yeyote wa bongo fleva………. na  si mwingine ni Linex ..!..... hivi punde tu ametoka kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la MAHAKAMA YA MAPENZI……….. wimbo umetengenezwa Sweden kwa Fundi samweli sauti imerekodiwa na tuddy Thomas, kwahiyo uandaaji mzima wa wimbo umefanywa na producer  Fundi  samweli (mzungu)  ebu sikiliza  wimbo huu jinsi fundi alivyopangilia muziki huo kwa ustadi wa hali ya juu.
MSANII                         :      LINEX
WIMBO                         :      MAHAKAMA YA MAPENZI
MTAYARISHAJI               :      FUNDI  SAMWELI (FROM SWEDEN)
MTAYARISHAJI WA SAUTI :      TUDDY THOMAS

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi