Saturday, January 5, 2013

Gomesa Tv

Newtrack; Ally Nipishe


Ulianza kumsikia kwenye wimbo ulioitwa Mapito ambao alishirikishwa na mwanadada Mwasiti 
Si mwingine anaitwa Ally Nipishe sauti,style ya uimbaji vinamfanya kuwa mmoja kati ya waimbaji wanaopaswa kutazamwa Kwa macho yote mawili.
Huu ni wimbo wake mpya ambao naamini ni moja kati ya nyimbo kali za mwisho wa mwaka huu

Wimbo huu umetayarishwa na Ema The boy kijana mwingine mpya ambaye hadi sasa ameshaleta hit songs za kutosha kwenye masikio yetu
Tracks kama Sorry by Barnaba, Nashukuru umerudi na Upepo by Rachel, Mapito by Mwasiti, Me $ You by Ommy Dimpoz, Ushafahamu by Linah na Nyinginezo nyingi
Mkono wa Ema The Boy umefanya kazi hizo..

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi