Saturday, January 5, 2013

Gomesa Tv

JK akamilisha safari ya Sajuki


 Raisi wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete jana amekamilisha katika safari ya mwisho ya msanii wa filamu nchini Juma Kilowoko 'Sajuki'katika makabuli ya kisutu jijini Dar es salaam. Katika mazishi hayo yaliyofanyika muda wa saa saba yaliudhuliwa na viongozi mbalimbali, pamoja na wasanii wengine kutoka tasnia mbalimbali kuhakikisha wanakamilisha safari ya mwisho ya msanii huyo ambaye ameteseka kwa muda mrefu kutokana na maradhi ya uvimbe. Hizi ni baadhi ya picha za wasanii na viongozi waliokuja kutembelea msibani wakati wa mazishi.

 Yusufu Mlela
 M2 akiwa na Selemani Barafu
 Mh Zitto akipiga stori
 Michuzi akiingia na raisi

 Msanii Elieth akibebwa baada ya kuzimia
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi