Tuesday, January 22, 2013

Gomesa Tv

Filamu ya Safari ilivyoleta maumivu kwa wasanii

 Kama uliwahi kukutana na filamu yenye mikasa ya kutisha na ya kusisismua basi hii kiboko. Katika risti humo ndani kuna Chopa wa Mchopanga, Irene Uwoya, Gabu, Chuchu Hansi, Rich mgogoro mkubwa katika ya watu kulilia roho yao na wengine kulilia milki yao. Gabu anaamini ujio wa wageni kwenye imaya yake, ni kuja kuchukua maeneo yake cha msingi ni kuwaua, kumbe hao watu wenyewe ni mabishoo. Walikuja kijijini kutembelea familia, wengine kufanya uchunguzi wote wanaingia kwenye mkumbo mmoja, hiyo ndiyo filamu ya SAFARI.
 Picha zake za uhakika zilichukuliwa hadi juu ya miti, hapa Chidi akitafuta Engo nzuri
 Baada ya uvamizi sasa waliendelea kujadili,
 Miongoni mwa vitu vya kuvutia katika filamu hiyo ni mapango ya Amboni
 Misheshe zilianzia hapa, kila mmoja alikuwa yupo tayari kufanya chochote kuokoa maisha yake.

 Mauaji ya kinyama yalianza mbele ya macho yao

 Hapa wakiwa hoi baada ya kazi
 Uchawi nao ulikithiri kupindukia
 Ilikuwa kazi ya kukimbia huku na kule kuokoa roho

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi