Saturday, January 19, 2013

Gomesa Tv

Dotnata ajiweka kwa Tb Joshua

 Aliyekuwa muigizaji maarufu nchini Dotnata, ambaye baadaye aligeukia katika muziki hivi sasa amemua kuwa mwanachama kabisa wa Kanisa la Tb Joshua la nchini Nigeria huku akisema lengo lake kubwa ni kumrudia mungu moja kwa moja. Dotnata ambaye hivi karibu alikuwa kwenye mwaliko wa mwaka mpya katika kanisa hilo, alisema kwa sasa atahakikisha kwamba arudii makosa ambayo aliyafanya kipindi kile cha Zamani. Alisema pia anaombwa wasanii wenzake kuweza kumrudia Mungu, kwani yeye amekuwa mfano mkubwa sana.
 Dotnata akiingia Lagos Nigeria

Hapa akiwa na mumewe ndani ya ndege kuelekea Nigeria

 Hapa wakiwa nje ya jengo la kanisa la Tb Joshua, likiwa na bendera za mataifa mbalimbali.
 Dotnata akiwa na mumewe nje ya jengo la Tb Joshua, ambalo linaonekana likiwa ghorofa na nje kukiwa na bendera.


 Maombezi yaliendelea

 Hapa Dotnata akiwa na wenzake walipeperesha bendera ya Tanzania, kuhakikisha wanaliombea Taifa
 Hii ndiyo sehemu ambayo wenyeji usali kila siku, na sehemu ya dharura wakati wa huduma.
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi