Wednesday, January 16, 2013

Gomesa Tv

Bongo Movie wazindua Kilimo Kwanza kwa 2013

Katika kuanza msimu mpya wa Kilimo kwanza mwaka 2013 wasanii wa filamu nchini Bongo Movie, wameungana kwa pamoja katika kufanikisha jambo hilo katika uzinduzi wa Kilimo kwanza Kondoa Mkoani Dodoma.

Mmoja wa wasanii Single Mtambalike maarufu kama Richie, amesema yeye tayari ameshajipanga katika kilimo kwa kulimisha shamba lake lililopo Upaleni, wakati huo anajiandaa na kulimisha lile la Bagamoyo.
Wasanii waliokwenda kuhudhulia Kilimo Kwanza, kuanza kulia Wema Sepetu, Single Mtambalike, Irene Uwoya, Vicent Kigosi 'Ray', Jacob Stephan 'Jb'
Irene Uwoya akiwa kwenye trekta akiendesha kuonyesha kilimo bora bila Trakta ni kazi bule

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi