Tuesday, January 22, 2013

Gomesa Tv

Bob Junior apata mtoto baada ya kumaliza video na harusi yake

 Nyota wa muziki wa kizazi kipya Rummy Nanji 'Bob Junior' ameuanza mwaka vizuri kwa kufunga ndo na mpenzi wake, mwanzoni mwa mwezi huu na hatmaye hii leo tunazungumza msanii huyo amepata mtoto wa kiume.  Mwanamuziki huyo pia hivi karibuni alikuwa akimalizia video ya wimbo wake wa Kichumu, ambao umekuwa wakati furaha za harusi na sasa kupata mtoto. Bongo Unit inampa pongezi raisi wa Sharobaro kupata mtoto huyo.Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi