Wednesday, December 5, 2012

Gomesa Tv

Walter aanda kutoa shukrani

 Nyota wa muziki wakizazi kipya aliyetwaa taji hivi karibuni la Epiq Bongo Star Search ‘EBSS’ Walter Chilambo, amesema tayari ameshakamilisha sualala watu wa kusimamia kazi zake, na sasa anajiandaa kwa nyimbo zake mpya ili kuweza kutoa shukrani kwa waliompigia kura.

Akizungumza na mwandishi alisema hivi sasa anashindwa kuzungukamikoaniani kutoa shukrani sababu anajua ataimba nyimbo zile zile za watu, ambazo tayari alishaziimba jukwaani wakati wa EBSS.

Alisema kwa sasa anafikiria zaidi kutoka na nyimbo zake akiwa yeye kama yeye, ilikuwez kufikisha shukrani zake akiwa kama yeye.
“Ninaandaa nyimbo nyingi kwaajili ya shukrani zangu kwa watu ambao wamenipigia kura” alisema.
Mwanamuziki huyoamesema kwa sasa tayari ameshapata uongozi kwaajili ya kazi zake, na yupo katika maandalizi ya kazi hizo.Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi