Saturday, December 8, 2012

Gomesa Tv

Swahili Fashion wafunikaDoreen alionesha utofauti kwa kupitia mbele ya majaji akiwa na wanamitindo wa aina mbili ambapo mwanzo walietembea wanamitindo wa shoo hiyo na baadae aliwatumia wanamitindo wa kwake.
Akizungumzia hatua alisema kuwa kwa kuwa ujumbe alionao mwaka huu ni Revolution akiwa na maana ya mabadiliko ambapo amesisitizia zaidi suala la mabadiliko ya fikra.
Alisema kuwa hiyo ndio sababu ya kuwatumia wanamitindo wengine ambao wao wameonesha ni ya kuleta mabadiliko nchini kwa kujikita kufanya kazi ambazo zimekuwa zikionekana kuwa ni za watu wa sirika fulani.
Kwa upande wa mavazi yake aliyoyabuni Doreen ameonesha mavazi ya aina mbalimbali ambapo asilimia kubwa yalikuwa yakionesha utupu.
Akzungumzia hilo alisema kuwa mavazi aliyobuni kwa onesho la Swahili Fashion mwaka huu yamejumuisha aina mbili ya ngu ambapo moja inaonesha uwazi lakini ya pili inakuwa inafunika kwa ndani.“ Najua nimetaka kuonesha utofauti kidogo kwa mwaka huu ambapo mavazi haya ni mazuri na yanafaa zaidi wakati wa joto, mimi nimesisitiza zaidi suala la mabadiliko ya fikra ikiwa ndio ujumbe wangu kwa mwaka huu” alisema Doreen.Onesho la Swahili Fashion kwa mwaka huu yameoshirikisha wabunifu mbalimbali kutoka nje ya nchi huku wabunifu wa ndani wakiwa wengi pia na wamewakilisha vema.
Mwisho  Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi