Tuesday, December 25, 2012

Gomesa Tv

Super Nyamwela ahamia Bongo Fleva

MNENGUAJI wa kundi la Extra Bongo, Hassan Nyamwela ‘Super Nyamwela’ amekamilisha video ya wimbo wake mpya wa Maneno, akimshirikisha Amini Mwinyimkuu ‘Amini’.
Nyamwela alisema  ameamua kubadilika kimuziki kutoka katika uimbaji wa muziki wa dansi mpaka bongo fleva.
Alisema yeye ni mwanamuziki hivyo kubalika kwake hakumuathiri kitu chochote huku akiamini anaweza kufanya vizuri zaidi ya mwanzo.
“Mimi ni mwanamuziki na naweza kuimba chochote katika muziki” alisema.
Super Nyamwela alisema katika bendi ya Extra Bongo yupo kwa mkataba, hivyo haumzuii kufanya kazi yoyote ya muziki.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi