Tuesday, December 11, 2012

Gomesa Tv

Richie amsifu Monalisa kwenye UYOGANYOTA wa filamu nchini ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mweka hazina  wa Bongo Movie, Single Mtambalike ‘Richie rich’ amesema filamu yake ya Uyoga  tayari ameshaingiza sokoni na anategemea kuleta makubwa juu ya filamu hiyo. 

Richie alisema tasnia imetanuka  sana, hivyo kila mtu amekuwa macho kuangalia kazi yake iwe nzuri na sio kutegemea jina kama zamani.
Alisema katika filamu hiyo, ambayo imemkutananisha tena na Vyonne Charry ‘Monalisa’, ambaye alitokana naye  kundi moja la Nyota Ensemble   ‘Mambohayo’, ambaye humo ameshiriakiane naye vizuri sana.
“Ni filamu ambayo nimetumia akili nyingi na kwa muda mrefu, maana ni filamu ipo tofauti sana kuliko filamu zangu zingine” alisema.
Alisema filamu hiyo imeingia sokoni, hivi karibu kwahiyo anatarajia kufanya makubwa zaidi kupitia filamu hiyo.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi