Friday, December 21, 2012

Gomesa Tv

Newtrack; Fidodido-Mwagaradhi


Fido ni msanii ambaye ameanza game kitambo sana na alianza safari yake ya kueleweka baada ya kujiunga kwenye crew ambayo anaitumikia mpaka sasa ya mexicana lacavela, na kushiriki kwenye ngoma za kundi na   za wasanii solo walioko kwenye kundi ila mara baada ya kuhitaji  kusimama yeye kama yeye ndipo aliingia A.M REC na kufanya track  ilyoweza kumtambulisha kwenye ulimwengu wa mziki iliyotambulika kwa  jina la NESA NESA aliyomshirikisha msanii kutoka tip top conection  TUNDA MAN. hii ni nyimbo yake ya pili ambayo ameifanya am rec kwa mara nyingine iliyoandaliwa na mdogo wake MANECKY anaefahamika kwa jina la  BOB! ni track ambayo official day released ni 22 dec 2012 kwenye mitandao na club zote za mjini itakuwa released tar 23 dec 2012 na j 3
itakuwa ofisial kwenye media zote Tanzania

FIDO DIDO ANAHITAJI SAPORT YAKO YA KILA HALI ILI AWEZE KUWA
INTERNATIONAL ARTIST ILI AWEZE KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI
NA NJE YA NCHI.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi