Wednesday, December 5, 2012

Gomesa Tv

NEW TRACK; ANGE TAINER - NAWAZA


KUTOKA PANDE ZA IRINGA NATAMBULISHA UJIO MPYA WA MSANII  CHIPUKIZI  WA MUZIKI WA  KIZAZI KIPYA, AMBAYE HIVI PUNDE TU AMEACHIA SINGLE YAKE NYINGINE TOKA  STUDIO ZA  SHYROBARO, PRODUCER AKIWA BOB JUNIOUR HUYU SI MWINGINE  NI "ANGE TAINER" AMBAYE SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI AMEHAMISHIA  JIJIN DAR BAADA YA KUMPATA PROMOTER AMBAYE ANASIMAMIA KAZI ZAKE KWA SASA,....ANGE TAINER AMEPATA  PROMOTER HUYO WA NGUVU  AMBAYE NI MWANADADA, ANAMKUBALI SANA KWANI ANA MOYO NA JITIHADA ZA DHATI NA  ZA  KWELI KABISA KUMWINUA  ANGE TAINER KATIKA ULIMWENGU HUU WA MUZIKI WA KIZAZI KIMPYA, KWAHIYO KAZI ZOTE ZA MWANAMUZIKI ANGE TAINER ZINASIMAMIWA NA MWANADADA HUYO NA TAYARI WAPO CHIMBO KUVYATUA  MAWE (NYIMBO) MENGINE.........KAA  MKAO WA KUPATA MAWE YA NGUVU TOKA KWA ANGER  TAINER....!!!
JINA LA WIMBO         -          NAWAZA

JINA LA MSANII         -           ANGE TAINER
 STUDIO                       -           SHYROBARO  RECORD.
PRODUCER                -           BOB  JUNIOR

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi