Tuesday, December 25, 2012

Gomesa Tv

“KACHALA V” AACHIA JIWE JIPYA


“KACHALA V” NDILO JINA LA KISANII LA MWANAMUZIKI CHIPUKIZI  WA MUZIKI WA BONGOFLEVA  AMBAYE SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI  ZIPO MBEZI BEACH MASOKO……..HIVI PUNDE TU AMEACHIA SINGLE YAKO MATATA INAYOKWENDA KWA JINA LA WANACHAFUA AKIMSHIRIKISHA SURESH KWENYE KIITIKIO. HII KAZI IMEFANYIKA PALE POTEZA  RECORD PRODUCER AKIWA MTU MZIMA SURESH. “KACHALA V” BADO YUPO CHIMBO AKIPIKA MAWE MENGINE. WEWE SHABIKI WAKE KAA MKAO WA KUPOKEA NYIMBO ZAKE ZINGINE MPYA.
WASIFU WA KACHALA V
JINA                            :           KACHALA V
JINA LA WIMBO        :           WANACHAFUA
STUDIO                       :           POTEZA RECORD
PRODUCER               :           SURESH

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi