Tuesday, December 25, 2012

Gomesa Tv

Dar yageuka ofisi kwa Aunt EzekielMWIGIZAJI  wa kike nchini, Aunt Ezekiel amesema anaamini ndoa yake haitotetereka kwa kuja kuishi Dar es salaam kwani ni sehemu yake ya kazi na Dubai  kwaajili ya maisha yake ni mumewe .

Aunt alisema hayo siku chache baada ya kushuka nchini  akitokea Dubai, na kusema atafanya kazi zake za filamu hapa nchini  baada ya hapo ataondoka kwa mumewe Dubai.
 “Nitakuwa hapa kwaajili ya kazi, na baada ya kazi zangu nakwenda Dubai na wala hakuna kitakachoteteresha ndoa yangu” alisema.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi