Wednesday, December 5, 2012

Gomesa Tv

DAR LIVE KUWAKA MOTO JUMAPILI

 Kundi zima la wasanii kutoka NYUMBA YA VIPAJI TANZANIA 'THT' hivi sasa wapo kwenye mazoezi makubwa katikakuhakikisha wanaitawala siku nzima ya Jumapili katika viwanja vya DAR LIVE, katika kutoa burudani ya kusherekea miaka ya kuzaliwa kwa kundi hilo. Pia wasanii hao wamesema walikuwa wakifanya mazoezi kutwa kucha, kuhakikisha kwamba siku hiyo kila aina ya burudani inapatikana kutoka kwako. Miongoni mwa wasanii ambao watawasindikiza, na wale ambao wamekuwa pamoja nao na wengine walipitia hapo, akiwemo Amini, Barnaba, Mwasiti, Recho, Mataluma, Linah,Ommy Dimpozi, Sheta, Ditto, Linex,Mzee Yusufu Kitale, na wengine wengi wengi sana wakiwemo Twanga Pepeta

 Amini na Msami wakionyeshena jingo ambayo walikuwa wakiitengeneza kwaajili ya siku hiyo
 Msami yeye anasema akiwa kama mwalimu wa upande wa ngoma,pia muimbaji atahakikisha vijana wake hawamwangushi.
 Injinia mitambo wa THT,  Lulu akiwa kwenye pozi, akitoa maelezo ya Jingo (Chezea yeye)

 Mambo yalizidi kuwa juu .
 Queen Darlin naye alikuwa katika zoezi.
 Alice alisema hayupo tayari kuonekana kwakuwa siku hiyo anahitaji kufanya kitu tofauti kabisa.
 Upande wa ngoma na Kudagi, densa, na minenguo ilikuwepo kazi moja, ila kubwa wameahidi kufanya katika jukwaa la DAR LIVE.
Msami

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi