Friday, November 9, 2012

Gomesa Tv

Steve afanya kisomo cha arobaini na albadili kwa wenzake

 Siku ya jana msanii wa filamu nchini Steve Mengele 'Steve Nyerere' alikuwa akihitimisha kisomo cha arobaini ya mwanaye Waiton aliyefariki siku chache baada ya kuzaliwa na kuzikwa katika makabuli ya Kinondoni. Katika arobaini hiyo iliyoudhuliwa na wasanii wengi pamoja na wadau tofauti.
 Stive pia aliweza kutumia nafasi hiyo kwa kusomakisomokwaajili ya kumuomba mungu awaweke wasanii hao mahari pamoja na kuepuka mntafaruku ambao umekuwa ukitokea kila kukicha. Wasanii
walitembezewa kitezo kwaajili ya kunuwia na kusamehana kutokana na yale ambayo yamekuwa yakitokea na kuwatenga. Stive pia alitoa husia kwa wasanii wenzake kwamba mara nyingi wasiangalie tofauti zao na hatmaye kuwa wamoja.

 Kama haitoshi kikapita kisomo kikubwa ambacho kinajulikana kama albadiri, kwaajili ya watu kuombea mema huku wakikatazwa na kuonywa kwamba kisomo hicho wasikitumie vibaya kwani wanaweza kupata matatizo. Kisomo hicho kilipita kwa hostadhi ambaye alikuwa akiendesha shughuli hiyokwa muda wote.
 Mwanye huyo ambaye alizaa na mpenzi wake Zawadi ambaye ni mwislamu,ndiyo maana kisomo hicho kilikuwa kwa mlengwa wa dini hiyo jambo ambalo watu wengi kwa mara ya kwanza walikuwa wakishangaa jina hilo na kisomo hicho.
 Steve Nyerere
Irene Uwoya akitia ubani kunuia


Steve akiteta jambo na Uwoya Msosi sasa
Monalisa akiwa kwenye kisomo

Sajenti naye akipata dua

Shakuru Jongokiongozi wa wadaku

Davina akiwa kwenye wani akisikilizia kisomo

Upande wa vyakula kulikuwa na Chuchu Hansi na Maya


Jb naye alikuwa kwenye kicheko cha nguvu kushudia kisomo kikipita

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi