Thursday, November 15, 2012

Gomesa Tv

Snura aja na mauno kwenye video yake mpyaMSANII wa filamu nchini ambaye amehamia katika muziki wa kizazi kipya, Snura Mushi ‘Snura’ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Shoga ake mama.Akizungumzia video ya wimbo huo Snura alisema
ni nyimbo mzuri ambaye ameonyesha uwezo wake wa kucheza, hususani katika kukata mauno ya ukweli.
Alisema video ya wimbo ambayo imetoka hivi karibuni, itafanya vizuri na kuweza kuitambulisha kwa wadau ili wampokee kwa mikono miwili.
“Nitafanya matamasha kwaajili ya kuzunguka kila kona kuisambaza video hiyo ili kuweza kupokelewa” alisema.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi