Tuesday, November 20, 2012

Gomesa Tv

Nash Disigner na ujio mpyaPata mashairi ya wimbo wake huo mpya, ambao tayari umeshaanza kushika kwenye redio mbalimbali na ujie jinsi kijana anavyojitahidi
 
Mashairi ya wimbo mpya wa Nash Disigner

INTRO- Ni nash designer today,E.M.A miss fay
         I wont forget everyday
VERSE 1- Siwezi lalamika sana labda kwenye moto nimeokolewaa.....
                Nafsi ilijuta na nafsi ililalamika (babyiiiiiiii)
               Kiukweli ulinishika kwa mapenzi nilifadhaika
             Lakini bado (nafsi inakwenda na kugota)
              Japo nimekuweka kando (kuna neno nataka ropoka)
 
BRIGDE- FEZA
              Umeondoka umempata mwingine aaaah....!!!

CHOROUS- Umenielewa (babyiii) baby umenielewa
                  Ume ume umenielewa (baby) baby umenielewa-2


VERSE 2- Hukujua kucheza na akili yangu,Ulipanga kuumiza moyo wangu
               Niliomba dua huku moyo ukiugua,Nilikupenda lakini
hujajigundua
                                                  (Babyiiiiiii)
               Sio kwamba mimi sikupendi ila naogopa tena mimi
utaniumiza(umenielewa)
               Dua njema tulizopema kumbe zote kwetu zilikuwa nikizaa(Au
bado hujazielwa)
 
BRIGDE- FEZA
              Umeondoka umempata mwingine aaaah....!!!

CHOROUS- Umenielewa (babyiii) baby umenielewa*
                  Ume ume umenielewa (baby) baby umenielewa *2*
 
VERSE 3-  Nimekubali kwa hayo yote mpenzi yaliyotokea *
                 Hata ukisemwa sana basi mimi nimeshazoea *
                 Basi wee nenda na dua nzuri nakuombea *
                 Moyo umeachilia kwa yale yote yaliyotokea eeh*
                Basi wee nenda na dua nzuri nakuombea eeeeh*
                Moyo umeachilia kwa yale yalitokea eeeeh*
                Babyiiii umenielewaaaaaaaaaa ooooh

          Reapert chorous    END (Pata picha zaidi )Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi