Friday, November 23, 2012

Gomesa Tv

Mr T amleta Mudy Kilosa- Hisia za Moyo
Toka pande za kinondoni "A" Jijini Dar es salaam anadondoswa msanii kwenye anga za bongo fleva… huyu si mwingine ni “MUDY KILOSA”…!!....si jina geni sana kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva  ni wa muda mrefu..lakini hajapata nafasi ya kutoka…lakini sasa ndio umefika muda wake wa kutoka chini ya Studio za SHINE RECORD, mkono wa mtu mzima MR. T. TUCH wameachia bonge la song linalokwenda kwa jina la hisia za moyo  Mudy Kilosa ambaye ambaye ameuacha mji kasoro bahari yaani morogoro na kuhamishia shughuli zake za muziki jijini dar….. amekuja kuwashika  baada ya kuachia single yake hiyo matata..!!Mudy Kilosa ambaye ngoma yake ya kwanza inayoitwa “umenuna”  alifanyia pale kwa mensen…ambayo haikufanya vizuri sana kwenye anga la muziki sasa ameachia huo mzigo mpya hisia za moyo………ebu pata  nafasi ya kusikiliza ndio utamjua Mudy Kilosa  ni mbaya….ni mbayaaaa!!! …….ni mbayaaa!!! Na anatisha…!!.

WASIFU WAKE:
JINA                            :           MUDY KILOSA
WIMBO                        :           HISIA ZA MOYO
STUDIO                       :           SHINE RECORD
PRODUCER                   :           MR. T. TUCH
MAWASILIANO              :           0714 315680
Mudy kilosa kwa sasa angependa kupata mfadhili au promoter wa kuweza kumsapoti ili aweze kukuza kipaji chake , kwahiyo milango ipo wazi kwa wote ambao wapo tayari kufanya nae kazi.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi