Thursday, November 8, 2012

Gomesa Tv

Kama unataka kuingia Ebss, DiamondHatimaye washiriki wa EBSS watano watakaoingia fainali wamepatikana wiki hii baada ya washiriki wawili Husna Nassor na Godfrey Kato kuyaaga mashindano. Top five wa EBSS 2012 ni NSAMI NKWABI, NSHOMA NG'HANGASAMALA, SALMA YUSUF, WABABA MTUKA and WALTER CHILAMBO. Fainali za EBSS Zitafanyika Ijumaa tarehe 9 November 2012, katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa moja usiku.
Ticket za EBSS zipo tayari na zinapatika katika vituo vifuatavyo:

1. SHEAR ILLUSIONS – MILIMANI CITY
2. BIGGY RESPECT- KARIAKOO
3. STEERS- MJINI (CITY CENTRE) 
4. ZIZZOU FASHION (VICTORIA & SINZA)
5. PHOTOPOINT- MAYFAIR PLAZA
6. ROBY ONE FASHIONS (KINONDONI)
7. BEST BITE
8. SAMAKI SAMAKI- MBEZI
9. DIAMOND JUBILEE HALL


Bei za Ticket:Bei za Ticket: VVIP (Tsh 70,000/=), VIP (Tsh 30,000/=), Kawaida (Tsh 10,000/=) - Kufanya booking piga namba: +255 778 952 795

Wanamuziki wafuatao watakuwepo kuwapa burudani siku ya Fainali za EBSS.
1.     RICH MAVOKO2.     OMI DIMPLES3.     BEN POL4.     LINA5.     AMINI6.     MZEE YUSUF7.     HAJI RAMADHAN8.     MWASITI9.     DITTO10.   LAILA RASHID11.   LINEX12.   BARNABA

Fans wa ukurasa wa EBSS kwenye Facebook wanaweza kujishindia ticket mbili kila mmoja kwa kujibu maswali yatakayoulizwa katika ukurasa huo.

Picha za EBSS za wiki hii zimeambatanishwa na messeji hii. Maelezo ya picha yanapatikana kwa Kiingereza na Kiswahili kwenye Word. Linki za video za EBSS za hivi karibuni zinapatikana chini ya messeji hii.

Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa habari. Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi