Saturday, November 17, 2012

Gomesa Tv

Candy aja na mapya

 Tanzania kuna wasanii wachache wa kike tofuti na nchi zetu za jirani, sio kwamba vipaji hamna nikiwa kama msichana nahitaji sana sapoti yako ili kunikomboa na kuwakomboa wasichana wenzangu ambao wanavipaji ila bado hawajaona mwanga wao.
Naombeni mnipokee kama mdogo wenu kwenye gemu kwani nahitaji kujifunza kupitia kwenu ili ndoto zangu zitimie  naomba pia wadau wa muziki mtizame kipaji changu na kunisaidia ili nifike mbali na niitangaze nchi yangu kimataifa .Mbali na kuimba naweza kudance/ kucheza vizuri sana ndio nilichojivunia  na ninamshukuru mungu kwa kunipa uwezo  wa kutawala jukwaa bila aibu. Tembelea link hii hapa kwa kuangalia video


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi