Wednesday, November 21, 2012

Gomesa Tv

Video ya Zola D, ndani ya Ujeruman na Bongo

 Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Michael Mlope 'Zola D' amesema hivi sasa yupo kwenye michakato ya mwisho katika kukamilisha video yake mpya ya Knockout, ambayo anafanya na kampuni yake ya Under Production.

 Alisema kwamba filamu hiyo aliifanyia nchini ujerumani na hapa nchini, huku akimshirikisha mkongwe P Funk
Majani, wakati huo Audio ya video hiyo, aliifanyia katika studio ya Bongo Record. Katika moja ya Clip ya video yake, anasema anaonekana akipigana na mwanamuziki mwenzake ambaye anaishi nje, ingawa kwa sasa yupo hapa nchini Mad Ice.Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi