Thursday, November 8, 2012

Gomesa Tv

Kizaa zaa cha watu waliogandana Temeke

Leo kupitia redio ya  Clouds Fm, katika kipindi cha Leo Tena kiliripoti kutoka kwa mashuhuda kwamba huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuna mwanamke mke wa mtu ambae amefikishwa hospitalini huku mwili wake ukiwa umegandana na mwanaume aliefumaniwa nae.
Bado Gea Habib anaendelea kufatilia kwa Mganga mkuu pamoja na vyanzo vingine lakini kwa sasa unaweza kuwasikiliza baadhi ya mashuhuda hapo chini.
Hadi kufikia jioni katika hospitali hiyo watu walijaa kibao kutaka kujua ni kweli tukiohilo au ni uzushi

Lakini hata hivyoinadaiwa kwamba ulikuwa ni uzushi na hakukuwa na tukio kama hilo, ila watu waliamua kuzusha kamailivyokuwa kawaida ya jiji hili. 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi