Thursday, November 8, 2012

Mohamed Gomesa

Barafu aanza kujing'arisha

Baada ya kuachana na kampuni ya Liba Production, mwigizaji Selemani Barafu amesema filamu ya Dont Tray,  ndiyo filamu yake ya kwanza kutoka katika kampuni yake mpya ambayo hatotaka kushare na mtu yeyote. Alisema hivi sasa anasimama katika kazi zake mwenyewe wakati huo akijipanga kutoa kazi nyingi zaidi ya hizi.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi