Monday, November 19, 2012

Gomesa Tv

Ay aifuta machozi Tanzania

Nyota wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya ambaye kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini kwaajili ya kutengeneza video ya wimbo wake mpya, ameibua kidedea Tanzania katika tuzo za  CHOMVA 12, ambazo zlikuwa zikifanyika nchini Afrika kusini.

AY amejinyakulia tuzo ya video bora kutoka Afrika Mashariki kwenye tuzo kubwa za Channel O, hata hivyo msanii huyo baada ya kunyakuwa tuzo hiyo, lakini hivi sasa yupo kwenye mikakati ya  kutengeneza video yake hiyo ya Money.

Katika video hiyo mwanamuziki huyo amemshirikisha msanii na mtangazaji  Vanessa Mdee.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi