Tuesday, October 16, 2012

Gomesa Tv

TINO aja na donge nono kwa wanaotaka kuigiza


MSANII maarufu wa filamu nchini,  Hissan Muya ‘Tino’, amesema ,  WALE WENYE VIPAJI WOTE VYA SANAA YA MAIGIZO NA NYINGINEZO ZOTE SIKU YA TAR 26 october KWENYE
UZINDUZI WA TINO ,,,,,TINO MUYA FILMS.... ITAZINDUA MUVIE YA C,I,D PIA ITAZINDUA RASMI ,,,,,,MUVIE STAR SEACH,,,,YANI M,S,S,,,,,,,NJOO UJUE UTAAANZIAAA WAPIII KUONYESHA KIPAJI CHAKO,,,,,,,,,,UKUMBI BISNESS PAK VICTORIA
Akizungumza hivi karibuni Tino alisema kuwa kwa sasa amesitisha mpango wa kutengeneza na kucheza  filamu za mapenzi kwa kuwa wengi wamejikita kutengeneza filamu za aina hiyo na kusahau mambo muhimu yanayoigusa jamii hasa janga kubwa la ukimwi, njaa na mengine mengi.

Tino alisema sababu nyingine ya kuzitosa filamu za mapenzi ni baada ya kutengeneza filamu  ya ‘Shoga’ na baadaye kubadilishwa jina na kuitwa ‘Shoga yangu’  iliyokuwa na lengo la kuelimisha jamii kuhusu suala zima la ushoga, badala yake ikaja kumletea matatizo.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi