Friday, October 5, 2012

Gomesa Tv

Sistar Marry yazidi kumng'arisha Dulla Wambua


 Ujio wa filamu mpya ya Vicent Kigosi kupitia kampuni yake ya Rj Company, anasema baada ya kuingia sokoni kwa filamu yake ya Principle of Woman anasema kwa sasa anakuja na filamu ya Sister Marry. Katika filamu hiyo amesema amewashirikisha wasanii ambao siku zote amewaona wamekuwa wakifanya vizuri.
wasanii hao ni wale ambao siku zote wamekuwa wakifanya vizuri, kama Johari, Irene Uwoya na wengine huku mpiga picha akiwa ni Faridi Uwezo kutoka katika Uwezo Production, huku mtangazaji wa Planet Bongo naye akishika kasi kwenye filamu........
 Abdullah mwana wa Mbua, akikamua vizuri katika filamu hiyo.
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi