Wednesday, October 31, 2012

Gomesa Tv

Send Off ya Aunt, ilivyo wasisimua


 Juma mosi ilikuwa ni siku ya furaha kwa msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel kwaajili ya kukamilisha shughuli zake za harusi kwa kukamilisha kwa Send Off katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam baada ya harusi iliyofanyika nyumbani kwake Mwananyamala  kwa siri.
 Hali iliyokuwa kuwa tofauti na sherehe zingine mwigizaji ghuyoalikuwa akibadili nguo...
kila baada ya muda fulani na kupelekea kubadili nguo zaidi ya mara tatu tena zote zikiwa za ghalama. Sherehe hizo zote zilifanyika chini ya DOTNATA CATERING & DECORATION SERVICS
Maya wakati akizirudi, wakati huyo nyuma yake mama Dotnata akiangalia.

Aunt Ezekiel akiwa na wasimamizi wake

Wema Seopetu akiwa na Jackline Wolper

Keki ya Send Off


Aunt akikabidhi keki kwa wazazi


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi