Tuesday, October 16, 2012

Gomesa Tv

Nyerere the Power wajiachia Nyerere day

 Wasanii kutoka kampuni ya Nyerere the Power juzi walikuwa wakisherekea kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julias Kambarage Nyerere katika beach ya Sunrise iliyoandaliwa na wasambazaji wa filamu ya Mwalimu Nyerere STEPS ENTERTAINMENT iliyoandaliwa na kampuni hiyo ya Nyerere The Power inayomilikiwa na mwigizaji Steve Nyerere maarufu kama Steve Nyerere.
Katika sherehe hiyoambayo ilipamba na watu wengi, na maarufu pia mwigizaji huyo ambapo... pia alipanda jukwaani kwaajili ya kutoa burudani. Wasanii hao pia walipata fulsa ya kuoga pamoja na kufurahi ili kuonyesha ni jinsi gani walivyokuwa wamoja.  Kampuni hiyo hivi sasa inajiandaa kuingia Location kwaajili ya kuandaa filamu yake mpya, ambayo wanatarajia kukutanisha wasanii kibao.

 Mr Kupa akiogelea naboya.

 Warembo wa Nyerere The Power

 Sajenti akiwa na rafiki yake kwenye pozi
 Zungu akiwa na mr Kupa, akiwa na makamera kibao.
 Mr Kupa na Steve Nyerere


 Stive akiwajibika jukwaani.
Dogo akiwa na Sajenti.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi