Thursday, October 11, 2012

Gomesa Tv

New video; Cassim Mganga Feat Akili- Majeraha

Mwanamuziki wa kizazi kipya Cassim Mgannga amechia video yake mpya akiwa na akili the Brain... video yake amesema inaitwa Majeraha ambayo pia anakuja kuicheza kwa mara ya kwanza katika usiku wa Mahaba ambayo anaamini ataitendea haki kwa siku hiyo kwa jinsi anavyojipanga.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi