Friday, October 19, 2012

Gomesa Tv

Ndoa ya Aunt Ezekiel yawaacha mdomo wazi wasanii wenzake

 Yule msanii wa filamu ambaye alitikisa sana kwenye anga za tamasha la SERENGETI FIESTA 2012, kwenye mikoa mbalimbali kwa kufanya show ya nguvu akiwa na mwingizaji mwenzake Wema Sepetu, Aunt Ezekiel jana saa mbili usiku amefunga ndoa na mpenzi......
wake wa muda mrefu ambaye alilitinga jiji kwa kutanga zake kutaka mrembo huyo Mr Demonte.

Msanii huyo aliweza kufunga ndoa hiyo kwa siri kutokana na kuhofia wapambe wanaweza kumwaribia kutokana na kumwandana kila kukicha. Mmoja wa wasanii wa karibu wa Aunt walisema kwamba msanii huyo aliweza kufunga ndoa ya Siri, bila ya hata msanii mmoja kuhudhulia jambo ambalo liliwashangaza. Hata hivyo inadaiwa picha za msanii huyo pia zimetoka kwa siri,  baada ya watu kuzivujisha. Ila bado wasanii walio wengi wanaimani kwamba baada ya harusi hiyo, wanategemea kufanyika sherehe kubwa,kutokana na kiwango kikubwa cha fedha walichochanga katika vikao vya harisi yake.
Aunt Ezekiel akisaini hatu ya ndoa

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi