Tuesday, October 23, 2012

Gomesa Tv

Masuper Star waliong'ara kwenye video ya Cpwaa

Video ya CPwaa ya “Hhmm..” ambayo ni Video ya kwanza Tanzania kurekodiwa South Africa na Msanii wa Bongoflava. Video hii ambayo mpaka kesho ni gumzo na haijapata mshindani imechaguliwa kwenye tuzo kubwa barani Africa, tuzo za Channel O Music Video Awards 2012 kwenye category ya ” Most Gifted Dance Video of the Year”. Ukiacha quality, story line na totoz za hatari ndani ya video hiyo ambayo ilishutiwa kwenye 5 stars luxury apartments and pent house jijini Johannesburg, Sandton City vile vile kuna mastar kibao kutoka barani Africa. Mastar hao ni pamoja na:
 Tiffany from Ghana.( A female Artist featured in AZONTO song)
 Turas from Ghana. A DJ and Artist working at Planet Radio, South Africa.
 Navio kutoka Uganda.
 X.O Senavoe from Ghana.
Hanni from Ethiopia. Big Brother Africa housemate 2011. Hapo chini ni video yake ambayo ilitengenezwa na Adam Juma wa Visual Lab kutoka Tanzania. Hanni alivutiwa na video yangu akaamua kufanya kazi na Adam.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi