Sunday, October 28, 2012

Mohamed Gomesa

Kojack Alia na Steve wa Maisha Plus

(Kojack kulia, Niva Kati kati na Sudi)
Mwigizaji aliyetamba katika tamthiria ya Jumba la Dhahabu, Kojack amelala mika kwa kitendo alichofanyiwa na mshiriki wa Maisha Plus Steven Sandhu, kwa tabia yake ya kuwachukuwa wasanii na kuwachezesha filamu kisha kutoweka huku akiacha amewalipa nusu na nusu kutoweka nayo.
Kojack alisema Steve tabia hiyo ameizoea na hajamfanyia yeye peke yake bali wasanii wengi ambao wamekuwa wakikutana pamoja na kuzungumzia jambo hilo
Alisema kwamba hivi sasa kila anapompigia simu mshindi huyo ambaye aliteka jiji kwa ushindi wake, anasema simu yake ilikuwa haipokelewi na kama wakionana basi alikuwa akikimbiwa.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi