Wednesday, October 24, 2012

Gomesa Tv

Irene Uwoya afiwa na baba yeka aliyemfungisha ndoa

Nyota wa filamu nchini ambaye kila kukicha jina lake linazidi kung'ara kutokana na vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafairi kwenda Moshi  kuhudhulia Mazishi ya baba yake Mkubwa, ambaye ndiye..
aliyefungisha ndoa kati yake na mwanasoka wa Uganda Hamad Ndikumana 'Katauti'.
Uwoya ambaye ni mchanga amesafiri leo baada ya kukusanyika na wasanii wenzake baada ya kupata hiyo taarifa, kwamba baba yake huyo alifia huko na kumpasa aende haraka iwezekanavyo.
Baba yake huyo ambaye anaishi Moshi ndiye aliyekuwa padri wa ndoa yake, hivyo kuwa mtu muhimu sana kwa upande wake.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi