Sunday, October 28, 2012

Gomesa Tv

H.Baba; Diamond anabeba watu wa kumshangilia

Mwanamuziki wa miondoko ya Bongo Bolingo, H Baba jana kwenye kipindi cha Tagzweek, amevunja ukimya kwa kusema mwanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond' amekuwa na tabia ya kubeba mashabiki wa
kumshangilia kwenye show zake au sehemu yoyote anayoenda ili kuonekana maarufu. H. Baba alisema mambo hayo amekuwa akiyafanya mara nyingingi, lakini kibaya zaidi kilikuja kumuuma kitendo cha mwanamuziki huyo kuja na watu wa kumshangailia hata kwenye msiba wa gwiji wa filamu nchini R.I.P Steven Kanumba jambo ambalo kwake anaona kama kumkosea mungu. H. Baba amesezidi kutiririka kwa kusema pia mwanamuziki huyo anatabia ya kubeba picha zake kupeleka kwa waandishi, wakati yeye na mpenzi wake Flora Mvungi wanatafutwa na waandishi kwaajili ya kupata picha, lakini wao wanpeleka picha kwa waandishi.
Diamond Plutnam


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi