Friday, October 19, 2012

Mohamed Gomesa

EBSS yazidi kupamba moto


 Jumapili ya tarehe 15, October 2012 mshiriki mmoja wa EBSS, Linias Mhaya aliyaaga mashindano na hivyo kubaki washiriki Tisa tu. Washiriki Tisa waliobakia wamegawanywa katika makundi matatu na kila Jaji kapewa washiriki watatu watakaokuwa chini ya usimamizi wake, Majaji wanatakiwa kuwapa maelekezo kuhusu kuimba na kuwachagulia nyimbo za kuimba.
Picha zimeambatanishwa na messeji hii. Maelezo ya picha yanapatikana kwa Kiingereza na Kiswahili kwenye Word. Linki za video za EBSS za hivi karibuni zinapatikana chini ya messeji hii.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi