Tuesday, October 9, 2012

Gomesa Tv

Diamond kuingarisha Magwepande

 Mwanamuziki ambaye kwa sasa analitikisa gemu la muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdull 'Diamond Plutnum' amedokeza kidogo kwa kusema video yake mpya ambayo aliifanyia Audition kwa mara ya....
kwanza, Nyumbani Lodge, anatarajia kuifanyia sehemu mbalimbali ikiwemo katika eneo la Magwepande. Diamondi alisema video hiyo ambayo kwake anaona itakuwa sehemu ya kuwapa ajira vijana wenzake wapatao ishirini, kumi wakiwa wanawake na kumi wanaume watakaoonekana kwenye video hiyo.  Diamond alizidi kusisitiza kwamba video hiyo pia itafanywa nje ya nchi, ingawa kwa sasabado hajakuwa tayarikutaja nchi hiyo.

Mmoja wa washiriki aliyefanana na Diamond, anasema huko mtaani kwao anajulikana kama Diamond Plutnum.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi