Tuesday, October 9, 2012

Gomesa Tv

Chuchu Hans alabwa kofi na Libert


 Mwigizaji wa filamu nchini Chuchu Hansi amejikuta akila kofi la kushitukiza kutoka kwa Libert Msuya katika, akiwa kwenye kochi wakati wakiigiza filamu mpya ya Two Faces, jambo ambalo .....
(Chuchu Hansi aliwazia kofi)
 Chuchu alisema kwamba halikuwa kwenye script ambayo walikuwa wakiitumia. Hata hivyo Libert alisema kwamba hayo huwa yanatokea pindi mtu anapopandwa na hisia kali wakati wa kuigiza. Katika filamu hiyoambayo inakuja kwa kasi, pia yupo Swebe, Keti, Sajenti pamoja na Maya.

 Moja ya Scene katika filamu ya Two Faces

 Libert akiwa na Chuchu pamoja na Hammada
 Libert
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi