Friday, October 5, 2012

Mohamed Gomesa

Bob Junior kujiandaa kulea

Nyota wa muziki wa kizazi kipya ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha Nichum, Bob Junior tetesi zinasema amemtia mimba mpenzi wake wa siku nyingi na hivi sasa anatarajia kupata mtoto.....
  Chanzo cha stori kinasema Bob Junior alipoulizwa kuhusu suala hilo, alikubali na kusema ingawa bado hajaamua kuliweka hadharani. Hata hivyo msanii huyo inasadikiwa msichana aliyemtia mimba ni mpenzi wake wa muda mrefu.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi