Tuesday, October 9, 2012

Gomesa Tv

Batuli; Hisia zangu hakuna wa kuzizuia

 
 Msanii wa filamu ambaye yupo ndani ya gemu la filamu kwa muda mrefu, Batuli amesema katika kuigiza anapenda sana kutumia hisia za kweli ambazo ndizo anahisi zinaweza kuendesha filamu nzima, lakini jambo
anaamini kwamba pindi hisia hizo zinvyoanza kumpanda, basi hakuna wa kumzuia jambo ambalo.......
analifanya kwa uharisi ili kuweza kunogesha filamu. Aalizidi kusema kwamba, pindi kama ataigiza kama mtu aliyefumania basi lazima mwanaume ajipange ili kuweza kukabiri kwakuwa hajazoea kughushi hisia. Mwanadada huyo kwa hivi sasa yupo Location kwaajili ya filamu ya My Life, ambayo anaamini atazidi kuonyesha uwezo wake, pindi anapokuwa mbele ya Screen.


 
 Batuli akikamua, akiigiza kama mwanamke ambaye anainyanyasa familia kutokana na uzuri wake baada ya kuolewa ndani ya fimlia hiyo.
 Tafu yeye aliigiza na pia alitumika kama Director wa filamu hiyo.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi