Friday, October 19, 2012

Mohamed Gomesa

AFTER EXAM PARTY yamleta Baghdad Mbalamwezi

Mwanamuziki ambaye anafanya vizuri anapokuwa jukwaani Baghdad anatarajia kufanya bonge la show leo akiwa na mashabiki wake ambao wamemaliza mtihani wa kidato cha nne leo maarufu kama AFTER EXAM PARTY, ambayo itafanyika katika ufukwe za Mbalamwezi Beach.
Baghdad alisema tamasha hilo litapambwa na wasanii kibao, ambao watashusha burudani kali, ikiwemo Battle,  kuanzia saa nane mpaka asubuhi huku mlango ukilipia shilingi 10000, wakati ukiwahi kabla utakuwa ukilipa 5000

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi