Monday, September 17, 2012

Gomesa Tv

Wakati wakigombea mali, kabuli la Kanumba laanza kupotea

 Baada ya wasanii kumzika Waiton Stive Mangele 'Stive Nyerere',pia wasanii walitumia muda huohuo kwenda kuzuru kabuli la aliyekuwa  gwiji la filamu nchini, Stive Kanumba. Lakini katika kitu cha kushangazi huku wengi wakilalamika kwamba, wakati familia ikiendelea kuvutana juu ya mgawano wa pasu kwa pasu wa mali ya  marehemu wakati huo kabuli la mtaalam huyo lipo katika hali sio nzuri,  bado likiwa halijajengewa hata kidogo, ingawa aliacha mali nyingi sana. Baadhi ya wasanii walisema kwamba, huenda wanasubiri mpaka lititie mchanga, kama ilivyo kwa makabuli mengine, lakini wengine walisema kwamba kabuli hilo si la kutitia kwakuwa limejengwa kwa zege na wala halina haja ya kutitia. Aliongezea na kusema linaweza kujengwa moja kwa moja kwakuwa halitegemei sana mchanga. Wasanii wengine pia walisema kitendo hicho cha kulisusa kabuli hilo si cha uungawa

 Kwakuwa marehemu alijenga msingi mzuri wa filamu ambao mpaka sasa wao wanajivunia, sualalakuliacha nikififia kama vile halina ndugu ni si jambo zuri. Msanii huyo aliendelea kusema kwamba sehemu hiyo (Soma zaidi)
nimuhimu kwa wasanii wote kupatunza na kupaenzi kwani ni histori nzuri kwa msanii huyo, ambaye katika harakati zake hakuna hadi sasa aliyezifikia wala kuzisogelea. Pia aliwaomba wasanii wakipata nafasi, basi waende kulijengea na kupendeza ili kujenga heshima, kwa wageni ambao walipata sifa zake, ikiwa kwenye uigizaji na kuzikwa kwake na viongozi wakubwa.

(Na mimi Pia nilipata baraka zake, huwezi jua mbele ya safari labda nikawa the Great coming soon...Ingawa mpiga picha alinipiga vibaya.)
Baadhi ya wasanii waliokuja kufagilia kidogo wakiondoka

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi