Friday, September 14, 2012

Gomesa Tv

Stive Nyerere apata mtoto wa kiume

 Kijana machachari nchini na mwenye vituko vya aina yake, ambaye alitokea katika uigizaji wa sauti za viongozi mpaka kwenye uigizaji wa filamu  umaarufu katika Bongo Movie huku akiwania ujumbe wa halmashauri kuu ya Taifa CCM 'NEC' Stive Mangere 'Stive Nyerere' au Nyerere The Power  juzi amepata mtoto wa kiume kutoka kwa mkewe Suze na kumpa jina la Waiyton.
 Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye safari za Serengeti Fiesta 2012, amesema lengo lake ni kujikita zaidi kwenye filamu ili aweze kuwa katika level ya kimataifa.
Hata hivyo msanii huyo alisema kwamba hausikii katika kashfa ambazo zimekuwa zikitolewa kwenye magazeti kwakuwa yeye n imtu ambaye mwenye heshima zake na familia.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi