Thursday, September 27, 2012

Gomesa Tv

Picha ya harusi iliyowaweka watu njia panda

 Pindi ukiitizama picha hii basi unaweza kugundua kitu tofauti ambacho kipo kati ya watu hawa wawili. Picha hizi zilipoanza kuzagaa, basi kila neno lilizuka kwambva huyu ndiye mke wa Cloud 112, na hisi ndizo picha zake za harusi  (Soma zaidi na kutizama picha za utata)
. Lakini leo namaliza ubishi kwani picha hizi Cloud 112 alipiga katika filamu yake mpya akiwa na Lui ambaye aliigiza kama mkewe, ambaye ndoa yao ilikuja kuyumba baada ya kwenda hotelini kwaajili ya mapumziko ya harusi maarufu kama Fungate. Kila utamu humo humu, kuna kila aina sababu ya kusema ni filamu ilitengenezwa hotelini, lakini ikiwa na matukio ya ajabu ajabu.
 Miongoni mwa waigizaji wa filamu hiyo ni Batuli
Hapa Batuli akiwa na Cloud 11

 Mke wa Cloud112 ndani ya filamu ya Fungate
hili ndilo Crew zima lililofanya kazi hiyo

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi