Tuesday, September 11, 2012

Gomesa Tv

Ommy Dimpozi aelezea ghalama za video yake

Super Handsome Ommy Dipmozi ameamua kueleza ukweli juu ya ghalama alizotumia kwa kutengeneza video yake mpya ya baadaye ambaye hivi sasa imeshaanza kushika chati kupitia stesheni mbalimbali za Tv, baada ya wimbo wake wa Nainai, aliomshirikisha Ali Kiba na kufanya ang'ae katika tasnia ya Bongo Fleva,
Picha za uzinduzi Maisha Club

Ommy ndani ya maisha Club


Alisema kwamba video hiyo, aliyoifanyia Afrika kusini, na kufanya vizuri siku ya uzinduzi wake katika ukumbi wa Maisha Club.... Soma zaidi (Bonyeza Read More)


Alisema watu wengi wametamani kujua ghalama za fedha alizotomia, lakini amekatazwa kwamba hatakiwi kuitangaza na itabaki kama siri ya kampuni. alidai kwamba hakuna mtu yoyote anayepaswa kujua zaidi ya kampuni, hivyomtu yoyote atakaye toa tasnia juu ya ghalama iliyofanyika juu ya kutengeneza filamu hiyo si kweli. Picha kwa hisani ya Dj Choka Blog

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi