Wednesday, September 26, 2012

Gomesa Tv

Newtrack;Edo Boy- Nipo Single

EDO BOY – NIPO SINGLE
TOKA PANDE ZA MBEZ BEACH MSANII CHIPUKIZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AJULIKANAE KWA JINA LA EDWARD JOSEPH  A . K . A  “EDO BOY” AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA UITWAO “NIPO SINGLE  WIMBO HUU AMBAO UMEFANYIKA KWENYE STUDIO ZA BACKYARD RECORD, CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA  BRIGHTON AMBAYE  AMETENGENEZA WIMBO HUU, AMESIFU KIPAJI CHA MSANII EDOBOY, AMBAPO SASA ANAWEZA KUPATA OFA NYINGINE YA KUREKODI KWENYE STUDIO HIYO YA BARKYARD. MAONI NA USHAURI VINAHITAJIKA SANA KWA MSANII EDO BOY UILI AWEZE KUKUZA KIPAJI CHAKE.
           

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi