Friday, September 14, 2012

Gomesa Tv

Ndoto ya Tafu kwa Omotola, Genevive na Emeka

 Mkali wa filamu ambaye alitamba sana katika filamu ya JUMBA LA DHAHABU, na badaye kuja kushika katika Game of Love, Ramadhani Milaji 'Tafu' amesema huenda yeye ndiye akawa mrithi wa mwigizaji wa Kimataifa kutokea Tanzania Stiven Kanumba.  Mwigizaji huyo alisema mikakati yake ni kuigiza na wasanii wa nje, na sio tena kuangaika na wanyumbani, sababu tayari filamu nyingi zimeigiwa na wanyumbani.
(Mwigizaji wa Nigeria Omotola)

Alisema miongoni mwa malengo yake ni kuwashirikisha wasanii mbalimbali, na hivi sasa tayari yupo kwenyemikakati kwa kuchati na na mwigizaji wa kimataifa kutoka Nigeria Omotola, Genevive na Emeka (Soma katika Read More)
. amaesema kwa sasa pia ameshakamisha filamu yake inayokwenda kwa jina la Fedha Fedhea , ambayo amewashirikisha mzee Magari, Rado, Bambucha na wasanii wengine.

 Zaidi ya kazi kuigiza Tafu pia ni mwimbaji na tayari ameshakamilisha nyimbo zake mbili, ambayomoja wapo ni Nirudie na Kilio cha Mfungwa ambayo anakamilisha video yake na anatarajia kuitoa hivi karibuni.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi