Tuesday, September 18, 2012

Gomesa Tv

Mzee Small alazwa Muhimbili tena

Mwigizaji mkongwe wa filamu za kuchekesha nchini, Mzee Small, amelazwa kati hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kuugua presha. Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa alikuwa akiuguza mwili wake ambao ulipalaraizi kwa upande wa kushoto, kutokana na ugonjwa huo. Hivi sasa amelazwa hospitalini hapo kwaajili ya kuendelea na matibabu zaidi.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi